Tuesday, November 29, 2016

JINSI YA KUTAMBUA MEMORY NI FAKE AU ORIGINAL

Umekwisha nunua memory card ya 1GB,2GB nk.......
 Kisha muda wa wakuitumia unagundua ni nusu ya ujazo huo uliokuwa umeandikwa kwenye card au data zinakuwa zipotea potea mara kwa mara....Basi ujue umenunua SD card fake(memory card feki).
     KABLA YA KUNUNUAMEMORY CARD
>>>>kwanza kabla ya kununua SD card fahamu vitu vifuatavyo......
*Aina ya memory card
*Alama zake

      AINA ZA SD CARD
>>>>SDSC .Hizi zina ukubwa hadi 4GB.
>>>>SDHC. Hizi zina ukubwa 4GB-32GB
>>>>SDXC. Hizi zina ukubwa 62GB-TB 2

  HATUA
1.Nenda google search app iitwayo SD insights
2.Download na install hiyo app
3.Fungua hiyo app kisha utaona kama memory yako nia fake au la
 Note:App hii itaweza kukuonesha jina la manufacture na utapata ujazo sahihi ya memory yako
          >>>>>>*Asanteni*<<<<<<

No comments:

Post a Comment