Hello Habari!!!!!
Kabla sijaenda mbali trick hii inafanya kazi kwenye simu za smartphone tu kama vile Huawei,Tecno,Samsung,Sony n.k hazitofanya kazi nje ya hapo kama blackberry.
SIFA ZA APP HII YA ANDROID DEVICE MANAGER(ADM)
1.Ina uwezo wa kukuonesha mahali simu ilipo
2.Ina uwezo wa kufuta vitu vilivyoma kwenye simu yako huko ilipo (memory card)
3.Ina uwezo wa kulock na unlock simu iliyo ibiwa huko ilipo.
4.Ina uwezo wa kupiga alarm kwa muda wa dakika 5 huko ilipo
5.Ina uwezo wa kufatilia (track)kifaa kilicho ibiwa au kupotea.
JINSI YA KUTUMIA ADM
1.Simu iliyo potea lazima iwe ya amdroid
2.Simu iliyo potea lazima iwe imeunganishwa na google.
3.Lazima uwe na smartphone nyingine au computer
HATUA
1.Ingia play store na search app inayoitwa adroid device manager (ADM) kutoka play store .
2.Ifungue hiyo ADM uliyo download na uweke Email na password ya hiyo simu iliyoibiwa then login
3.Itatafuta simu yako mahali ilipo na kukuelekeza kwa njia ya ramani.
4.Utaona option 3 baada ya kulog in kwenye ADM
RING>>>>hii itakusaidia kupiga alarm kwa muda wa dakika 5 kumtisha mtu aliyonayo huko ilipo.
LOCK>>>>>uki click itakusaidia kulock simu yako huko ilipo na kuandika ujumbe ambao utaonekana kwenye display (screen) ya simu ikiwashwa.
ERASE>>>>uki click utaweza kufuta vitu vyote kwenye simu yako.
ENJOY !!!!!!!
No comments:
Post a Comment