Saturday, November 5, 2016

JINSI YA KUBADILISHA ACCOUNT YA FACEBOOK KUWA PAGE

Je ushawai kujiuliza kuwa unaweza kubadilisha account yako ya facebook kuwa page..........? yaani ni hivi watu badala ya ku add as a friend watakuwa wanaku ''like" badala ya kuku add hahahaha........
  Sasa tunaweza kuendelea kubadilisha account yako ya Facebook kuwa page kwa kufuata HATUA zifuatazo....
  1.Log in katika account yako ya facebook
 2.Fuata linkhttp://www.facebook.com/pages/create.php?migrate nilio ianda kubadilisha account yako ya facebook kuwa page.
3.Click get started
4.Utachagua aina ya page unayoitaka
5.Utachagua aina ya category inayo kufaa then utabonyeza Get started..
       Mpaka hapo utakuwa umebadilisha account yako ya Facebook kuwa page......

No comments:

Post a Comment