Hii ni application mpya ya google ambayo inahusika na INSTANT MESSAGING yaani hii app inafanya kazi kama WhatsApp hii ni mahususi kutumiana message,picha,video mbalimbali.Application hii imetengezwa mnamo 18/5/2016 na ikazinduliwa rasmi 21/9/2016 siku ya jumatano......
Imekuja na feature nyingi sana kama
*Smart reply mode
*Ignition mode
*Message rentetion
Application hii inapatikana Google Play store waweza kuipakua(download) kuifurahia sasa
>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>
©2016 STAR BOY ...
No comments:
Post a Comment