*Na star boy*
>>>>Leo nimeamua nishare nanyi somo hili kidogo,pia kama una swali lolote nitumie kwenye email yangu kennytemb720@gmail.com nami nita ya jibu kadri niwezavyo,lengo ni kuelimishana,kuongeza maarifa katika technology
Watu wengi wamekuwa wakipata tatizo la kusahau password au pattern kwenye simu zao.watu wengi huzani kwamba njia ya pekee ya kuondoa hili tatizo ni kuflash simu,Leo nitafundisha jinsi ya kuondoa password au pattern bila kuflash au bila software yoyote.Kwenye somo la leo nitatumia simu aina 4 ila hata kwenye simu nyingine njia hii hutumika,nitatumia
HUAWEI,VODAFONE,TECNO na SAMSUNG
zifuatazo nia hatua za kufata,fata hatua hizi kwa makini utafanikiwa bila shida
1.Zima simu yako toa betri na urudishe
2.(a)kama unatumia simu hizi HUAWEI,VODAFONE AU TECNO bonyeza batani ya kuongezea sauti na ya kuzimia kwa sekunde 15,kufanya hivyo kutakuletea Recover menu
(b)kama unatumia samsung bonyeza batani ya kuwashia,kuongeza sauti na home botton kwa sekunde 15,kufanya hivyo kutakuletea Recovery menu.
3.Tumia botton ya kupunguzia sauti na ushuke mpaka kwenye swipe data/factory reset.
4.Bonyeza batani ya kuwashia kisha tumia batani ya kupungaza sauti kushuka mpaka kwenye delete all users data then bonyeza batani ya kuwashia.
5.Iache kwa muda kisha utaona neno Reboot now liko highlighted bonyeza batani ya kuwashia kisha iache izime na iwake yenyewe kwa kesi ya simu nyingine utatumia batani ya kuongeza sauti badala ya kuwashia.
6.Hapo utakuwa ume ondoa password au pattern kwenye simu yako......
*>>>>>>Mwisho<<<<<<<*
*IMEANDALIWA NA STAR BOY@2016
Kennytemb720@gmail.com
No comments:
Post a Comment