Leo nitafundisha jinsi ya kuandika fronts tofauti kwenye message za whatsapp coz kuna wakati mwingine utakataka kuonyesha msisitizo kwa ku blod ama ku highligth kipengele katika sentensi au ujumbe unaotaka kumtumia mtu.Ili kufanya hayo yote fuata hatua zifuatazo......
HATUA
1:kuufanya mwandiko uwe umelala na kupauka.Hili uweze kufanya mwadiko wako au ujumbe wako uonekane umelala na kupauka kwa msomaji.Andika alama hii (_)mwanzo na mwisho mwa ujumbe wako bila kuweka mabano.
2:kukoleza herufi za ujumbe wako kwa rangi nyeusi.Andika alama hii (*)mwanzo na mwisho wa ujumbe wako.
Mfano ; *hello*
3:kufanya herufi ziwe na mstari katikati katika ujumbe wako.Hii hufanya herufi ziwe na mstari katikati wakati unamtumia SMS mtu whatsapp.Weka alama hii (~)mwanzo na mwisho wa ujumbe wako bila kuweka alama ya mabano.
Mfano : ~mambo~
NOTE :Code hizi zitafanya kazi whatsapp tu...iwapo utatumia sehemu nyingine tofauti hazitafanya kaz
No comments:
Post a Comment