Monday, December 5, 2016

EPUKA KUPAKUA HIZI APPS KUTOKA MASOKO YASIYO RASMI

Leo nitaelezea kwa ufupi kuhusiana na upakuzi wa apps ktk masoko yasiyo rasmi yanavyo weza kukusababixhia kirusi cha  Gooligan kirusi hichi inasemekana kinaweza kuingia kwenye simu kupita Apps zinazopatia masoko yasiyo rasmi.Baada ya kuingia kwa virus huu kwenye simu huanza kuiba nywila unazotumia kuingia mitandao mbalimbali hasa ya Google.
>>>>Tayari uchunguzi umeonesha kirusi hiki cha Gooligan kinapatikana katika App 80 ambazo zinapatikana katika masoko yasiyo rasmi,hii ni tishio kwa sisi tunaotumia App hizi kwenye simu zetu.

 >>>Kama wewe ni mtumiaji wa app kutoka katika soko lisilo rasmi unaweza kuangalia kama account ya imeshambuliwa
https://gooligan.checkpoint.com
     Halafu weka email yako  wao wataangalia kama account yako imeshambuliwa .Kama kweli umeshambuliwa unatakiwa ubadilishe password yako ya Gmail na unatakiwa uipeleke kwa fundi mzoefu ili hai flash.

No comments:

Post a Comment