HATUA ZA KUFUATA
1.Fungua website yako itakayo kufikisha kwenye google...
2.Baada ya kufika google search App inayoitwa mobdro na uidownload.
3.Install iyo app kwenye simu ambayo unataka uwe unaangalia mpira online(Sport)na channel zinginezo na uifungue baada ya hapo.
4.Utatafuta channel ya mpira unayotaka kuangalia kupitia hiyo app na kuanza kuangalia.
5.Enjoy
NOTE:App hii haipatikani playstore so usiitafute playstore pia unaweza kuangalia channel zinginezo tofauti na za mpira utaziona channel nyingi utaweza kasearch unayotaka kuangalia .Pia hii app inatumia MB
Nic
ReplyDelete