Wednesday, December 7, 2016

Rose muhando-Facebook

Rose muhando -Facebook(official video)

JINSI YA KUDOWNLOAD VIDEO YOUTUBE

Leo nitaelezea ni jinsi gani unaweza kudownload (kupakua)video youtube .Watu wengi walikuwa wakijiuliza kuwa wana wezaje kudownload video youtube .Leo nimekuja na ujuzi huu kidogo ili niwajuze .
  Fuata hatua zifuatazo ili kudownload video youtube .
1:Ingia kwenye browser na search App iitwayo vidmate.
2:Download na install vidmate then open it.
3:Utakuta youtube ifungue hiyo youtube kisha tafuta video unaitaka
4:Anza kudownload video yako
5: Enjoy it
   <<<<<<<<< Asanteni<<<<
Note:hii trick inatumia mb katika kusearch video na kudownload video...........

Monday, December 5, 2016

EPUKA KUPAKUA HIZI APPS KUTOKA MASOKO YASIYO RASMI

Leo nitaelezea kwa ufupi kuhusiana na upakuzi wa apps ktk masoko yasiyo rasmi yanavyo weza kukusababixhia kirusi cha  Gooligan kirusi hichi inasemekana kinaweza kuingia kwenye simu kupita Apps zinazopatia masoko yasiyo rasmi.Baada ya kuingia kwa virus huu kwenye simu huanza kuiba nywila unazotumia kuingia mitandao mbalimbali hasa ya Google.
>>>>Tayari uchunguzi umeonesha kirusi hiki cha Gooligan kinapatikana katika App 80 ambazo zinapatikana katika masoko yasiyo rasmi,hii ni tishio kwa sisi tunaotumia App hizi kwenye simu zetu.

 >>>Kama wewe ni mtumiaji wa app kutoka katika soko lisilo rasmi unaweza kuangalia kama account ya imeshambuliwa
https://gooligan.checkpoint.com
     Halafu weka email yako  wao wataangalia kama account yako imeshambuliwa .Kama kweli umeshambuliwa unatakiwa ubadilishe password yako ya Gmail na unatakiwa uipeleke kwa fundi mzoefu ili hai flash.

Tuesday, November 29, 2016

JINSI YA KUTAMBUA MEMORY NI FAKE AU ORIGINAL

Umekwisha nunua memory card ya 1GB,2GB nk.......
 Kisha muda wa wakuitumia unagundua ni nusu ya ujazo huo uliokuwa umeandikwa kwenye card au data zinakuwa zipotea potea mara kwa mara....Basi ujue umenunua SD card fake(memory card feki).
     KABLA YA KUNUNUAMEMORY CARD
>>>>kwanza kabla ya kununua SD card fahamu vitu vifuatavyo......
*Aina ya memory card
*Alama zake

      AINA ZA SD CARD
>>>>SDSC .Hizi zina ukubwa hadi 4GB.
>>>>SDHC. Hizi zina ukubwa 4GB-32GB
>>>>SDXC. Hizi zina ukubwa 62GB-TB 2

  HATUA
1.Nenda google search app iitwayo SD insights
2.Download na install hiyo app
3.Fungua hiyo app kisha utaona kama memory yako nia fake au la
 Note:App hii itaweza kukuonesha jina la manufacture na utapata ujazo sahihi ya memory yako
          >>>>>>*Asanteni*<<<<<<

Sunday, November 27, 2016

JINSI YA KUANDIKA MIANDIKO TOFAUTI TOFAUTI KWENYE WHATSAPP

Leo nitafundisha jinsi ya kuandika fronts tofauti kwenye message za whatsapp coz kuna wakati mwingine utakataka kuonyesha msisitizo kwa ku blod ama ku highligth kipengele katika sentensi au ujumbe unaotaka kumtumia mtu.Ili kufanya hayo yote fuata hatua zifuatazo......
    HATUA
1:kuufanya mwandiko uwe umelala na kupauka.Hili uweze kufanya mwadiko wako au ujumbe wako uonekane umelala na kupauka kwa msomaji.Andika alama hii (_)mwanzo na mwisho mwa ujumbe wako bila kuweka mabano.
2:kukoleza herufi za ujumbe wako kwa rangi nyeusi.Andika alama hii (*)mwanzo na mwisho wa ujumbe wako.
Mfano ; *hello*
3:kufanya herufi ziwe na mstari katikati katika ujumbe wako.Hii hufanya herufi ziwe na mstari katikati wakati unamtumia SMS mtu whatsapp.Weka alama hii (~)mwanzo na mwisho wa ujumbe wako bila kuweka alama ya mabano.
Mfano : ~mambo~
     NOTE :Code hizi zitafanya kazi whatsapp tu...iwapo utatumia sehemu nyingine tofauti hazitafanya kaz

Wednesday, November 9, 2016

IFANYE MODEM YAKO ITUMIE MTANDAO WOWOTE BILA KUNA UN LOCK

Ikiwa kama ada yetu kupeana mawili matatu kuhusiana na teknolojia leo nimekuja kushare na nyi hii TRICK ndogo kuhusiana na namna ya kuifanya modem ambayo inatumia line moja iwe inatumia line ya mtandao wowote..

Futa hatua hizi
Chomeka modem na line isiokuwa sana na modem then itakwambia invald sim  ,then close software ya modem na download Nokia Pc Suite kisha ifanyie istallation ktk computer yako.

Open nokia pc suite(vizuri uwe na latest version)then click pale pa kukonektia na internet utaona tab utapop up then click configure halafu select modem yako

Now connect na internet bila kunlock modem
 Hapo utakuwa umaliza
       ENJOY


Sunday, November 6, 2016

JINSI YA KUONDOA PATTERN AU PASSWORD KWENYE SIMU YAKO BILA KUFLASH

*Na star boy*
>>>>Leo nimeamua nishare nanyi somo hili kidogo,pia kama una swali lolote nitumie kwenye email yangu kennytemb720@gmail.com nami nita ya jibu kadri niwezavyo,lengo ni kuelimishana,kuongeza maarifa katika technology
      Watu wengi wamekuwa wakipata tatizo la kusahau password au pattern kwenye simu zao.watu wengi huzani kwamba njia ya pekee ya kuondoa hili tatizo ni kuflash simu,Leo nitafundisha jinsi ya kuondoa password au pattern bila kuflash au bila software yoyote.Kwenye somo la leo nitatumia simu aina 4 ila hata kwenye simu nyingine njia hii hutumika,nitatumia
    HUAWEI,VODAFONE,TECNO na SAMSUNG
    zifuatazo nia hatua za kufata,fata hatua hizi kwa makini utafanikiwa bila shida
1.Zima simu yako toa betri na urudishe
2.(a)kama unatumia simu hizi HUAWEI,VODAFONE AU TECNO bonyeza batani ya kuongezea sauti na ya kuzimia kwa sekunde 15,kufanya hivyo kutakuletea Recover menu
(b)kama unatumia samsung bonyeza batani ya kuwashia,kuongeza sauti na home botton kwa sekunde 15,kufanya hivyo kutakuletea Recovery menu.
3.Tumia botton ya kupunguzia sauti na ushuke mpaka kwenye swipe data/factory reset.
4.Bonyeza batani ya kuwashia kisha tumia batani ya kupungaza sauti kushuka mpaka kwenye delete all users data then bonyeza batani ya kuwashia.
5.Iache kwa muda kisha utaona neno Reboot now liko highlighted bonyeza batani ya kuwashia  kisha iache izime na iwake yenyewe kwa kesi ya simu nyingine  utatumia batani ya kuongeza sauti badala ya kuwashia.
6.Hapo utakuwa ume ondoa password au pattern kwenye simu yako......

            *>>>>>>Mwisho<<<<<<<*

 *IMEANDALIWA NA STAR BOY@2016

         Kennytemb720@gmail.com

IFAHAMU APP MPYA YA GOOGLE ALLO HAPA

Hii ni application mpya ya google ambayo inahusika na INSTANT MESSAGING yaani hii app inafanya kazi kama WhatsApp hii ni mahususi kutumiana message,picha,video mbalimbali.Application hii imetengezwa mnamo 18/5/2016 na ikazinduliwa rasmi 21/9/2016 siku ya jumatano......

 Imekuja na feature nyingi sana kama
  *Smart reply mode
  *Ignition mode
  *Message rentetion

Application hii inapatikana Google Play store waweza kuipakua(download) kuifurahia sasa
      >>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>
 ©2016 STAR BOY ...

Saturday, November 5, 2016

JINSI YA KUBADILISHA ACCOUNT YA FACEBOOK KUWA PAGE

Je ushawai kujiuliza kuwa unaweza kubadilisha account yako ya facebook kuwa page..........? yaani ni hivi watu badala ya ku add as a friend watakuwa wanaku ''like" badala ya kuku add hahahaha........
  Sasa tunaweza kuendelea kubadilisha account yako ya Facebook kuwa page kwa kufuata HATUA zifuatazo....
  1.Log in katika account yako ya facebook
 2.Fuata linkhttp://www.facebook.com/pages/create.php?migrate nilio ianda kubadilisha account yako ya facebook kuwa page.
3.Click get started
4.Utachagua aina ya page unayoitaka
5.Utachagua aina ya category inayo kufaa then utabonyeza Get started..
       Mpaka hapo utakuwa umebadilisha account yako ya Facebook kuwa page......

JINSI YA KUPATA SIMU ILIYOIBIWA AU KUPOTEA

Hello Habari!!!!!
     Kabla sijaenda mbali trick hii inafanya kazi kwenye simu za smartphone tu kama vile Huawei,Tecno,Samsung,Sony n.k hazitofanya kazi nje ya hapo kama blackberry.
   SIFA ZA APP HII YA ANDROID DEVICE MANAGER(ADM)
1.Ina uwezo wa kukuonesha mahali simu ilipo
2.Ina uwezo wa kufuta vitu vilivyoma kwenye simu yako huko ilipo (memory card)
3.Ina uwezo wa kulock na unlock simu iliyo ibiwa huko ilipo.
4.Ina uwezo wa kupiga alarm kwa muda wa dakika 5 huko ilipo
5.Ina uwezo wa kufatilia (track)kifaa kilicho ibiwa au kupotea.
      JINSI YA KUTUMIA ADM
1.Simu iliyo potea lazima iwe ya amdroid
2.Simu iliyo potea  lazima iwe imeunganishwa na google.
3.Lazima uwe na smartphone nyingine au computer
    HATUA
1.Ingia play store na search app inayoitwa adroid device manager (ADM) kutoka play store .
2.Ifungue hiyo ADM uliyo download na uweke Email na password ya hiyo simu iliyoibiwa then login
3.Itatafuta simu yako mahali ilipo na kukuelekeza kwa njia ya ramani.
4.Utaona  option 3 baada ya kulog in kwenye ADM
      RING>>>>hii itakusaidia kupiga alarm kwa muda wa dakika 5 kumtisha mtu aliyonayo huko ilipo.
    LOCK>>>>>uki click itakusaidia kulock simu yako huko ilipo na kuandika ujumbe ambao utaonekana kwenye display (screen) ya simu ikiwashwa.
     ERASE>>>>uki click utaweza kufuta vitu vyote kwenye simu yako.
           ENJOY !!!!!!!

JINSI YA KUANGALIA MPIRA KWENYE SMARTPHONE AU COMPUTER

Hili kuangalia mpira online kwenye simu yako unatakiwa ufuate hatua zifuatazo..

     HATUA ZA KUFUATA
1.Fungua website yako itakayo kufikisha kwenye google...
2.Baada ya kufika google search App inayoitwa mobdro na uidownload.
3.Install iyo app kwenye simu ambayo unataka uwe unaangalia mpira online(Sport)na channel zinginezo na uifungue baada ya hapo.
4.Utatafuta channel ya mpira unayotaka kuangalia kupitia hiyo app na kuanza kuangalia.
5.Enjoy
     NOTE:App hii haipatikani playstore so usiitafute playstore pia unaweza kuangalia channel zinginezo tofauti na za mpira utaziona channel nyingi  utaweza kasearch unayotaka kuangalia .Pia hii app inatumia MB
  ENJOY!!!!