Karibuni katika blog pendwa ya star boy katika blog hii utajiunza vitu mbalimbali vinavyo husiana na teknolojia na maendeleo yake........
Sunday, December 11, 2016
Diamond platnumz apata mtoto wa kiume
Diamond platnumz apata mtoto wa kiume huyu hapa click hiyo video umuone
Friday, December 9, 2016
Diamond platnumz ft rayvanny -_-SALOME{Guitar cover new version}
*Imeandaliwa na star boy ©2016/17
Wednesday, December 7, 2016
JINSI YA KUDOWNLOAD VIDEO YOUTUBE
Leo nitaelezea ni jinsi gani unaweza kudownload (kupakua)video youtube .Watu wengi walikuwa wakijiuliza kuwa wana wezaje kudownload video youtube .Leo nimekuja na ujuzi huu kidogo ili niwajuze .
Fuata hatua zifuatazo ili kudownload video youtube .
1:Ingia kwenye browser na search App iitwayo vidmate.
2:Download na install vidmate then open it.
3:Utakuta youtube ifungue hiyo youtube kisha tafuta video unaitaka
4:Anza kudownload video yako
5: Enjoy it
Subscribe to:
Posts (Atom)